Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 13:3

Ufunuo 13:3 NEN

Kimojawapo ya vichwa vya huyo mnyama kilikuwa kama kilichokwisha kupata jeraha la mauti, lakini jeraha hilo la mauti likapona. Ulimwengu wote ukashangaa ukamfuata huyo mnyama.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 13:3