Ufunuo 13:3
Ufunuo 13:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kichwa kimojawapo cha huyo mnyama kilionekana kama kilikwisha jeruhiwa vibaya sana, lakini jeraha hilo lilikuwa limepona. Dunia nzima ilishangazwa na huyo mnyama na kumfuata.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13Ufunuo 13:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaona mojawapo wa vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule.
Shirikisha
Soma Ufunuo 13