Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 85:10-11

Zaburi 85:10-11 NEN

Upendo na uaminifu hukutana pamoja, haki na amani hubusiana. Uaminifu huchipua kutoka nchi, haki hutazama chini kutoka mbinguni.