Zaburi 85:10-11
Zaburi 85:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Fadhili zake na uaminifu vitakutana; uadilifu na amani vitaungana. Uaminifu utachipuka katika nchi; uadilifu utashuka toka mbinguni.
Shirikisha
Soma Zaburi 85Zaburi 85:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fadhili na kweli zitakutana, Haki na amani zitakumbatiana. Kweli itachipuka katika nchi, Haki itachungulia kutoka mbinguni.
Shirikisha
Soma Zaburi 85