Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 77:11-12

Zaburi 77:11-12 NEN

Nitayakumbuka matendo ya BWANA; naam, nitaikumbuka miujiza yako ya zamani. Nitazitafakari kazi zako zote na kuyawaza matendo yako makuu.