Zaburi 77:11-12
Zaburi 77:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale. Nitatafakari juu ya kazi zako, na kuwaza juu ya matendo yako makuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale. Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale. Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 77