Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 69:13-14

Zaburi 69:13-14 NEN

Lakini Ee BWANA, ninakuomba, kwa wakati ukupendezao; katika upendo wako mkuu, Ee Mungu, unijibu kwa wokovu wako wa hakika. Uniokoe katika matope, usiniache nizame; niokoe na hao wanichukiao, kutoka kwenye vilindi vya maji.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 69:13-14