Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 62:1-2

Zaburi 62:1-2 NEN

Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; wokovu wangu watoka kwake. Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 62:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha