Zaburi 62:1-2
Zaburi 62:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu. Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu wangu, yeye ni ngome yangu, sitatikisika.
Shirikisha
Soma Zaburi 62Zaburi 62:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa utulivu, Wokovu wangu hutoka kwake. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika.
Shirikisha
Soma Zaburi 62