Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 55:17-18

Zaburi 55:17-18 NEN

Jioni, asubuhi na adhuhuri ninalia kwa huzuni, naye husikia sauti yangu. Huniokoa nikawa salama katika vita vilivyopangwa dhidi yangu, ingawa watu wengi hunipinga.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 55:17-18