Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 44:6-7

Zaburi 44:6-7 NEN

Siutumaini upinde wangu, upanga wangu hauniletei ushindi; bali wewe unatupa ushindi juu ya adui zetu, unawaaibisha watesi wetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 44:6-7