Zaburi 44:6-7
Zaburi 44:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi siutegemei upinde wangu, wala upanga wangu hauwezi kuniokoa. Wewe ndiwe uliyetuokoa na maadui zetu; uliwavuruga wale waliotuchukia.
Shirikisha
Soma Zaburi 44Zaburi 44:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana sitautumainia upinde wangu, Wala upanga wangu hauwezi kuniokoa. Bali Wewe ndiwe uliyetuokoa kutoka kwa watesi wetu; Na watuchukiao umewaaibisha.
Shirikisha
Soma Zaburi 44