Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 4:7-8

Zaburi 4:7-8 NEN

Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi. Nitajilaza chini na kulala kwa amani, kwa kuwa wewe peke yako, Ee BWANA, waniwezesha kukaa kwa salama.