Zaburi 4:7-8
Zaburi 4:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi umenijalia furaha kubwa moyoni, kuliko ya hao walio na divai na ngano kwa wingi. Nalala na kupata usingizi kwa amani; ee Mwenyezi-Mungu, wewe peke yako waniweka salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4Zaburi 4:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai. Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4Zaburi 4:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Umenitia furaha moyoni mwangu, Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai. Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, BWANA, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shirikisha
Soma Zaburi 4