Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 33:4-5

Zaburi 33:4-5 NEN

Maana neno la BWANA ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo. BWANA hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.