Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 33:4-5

Zaburi 33:4-5 NENO

Maana neno la Mwenyezi Mungu ni haki na kweli, ni mwaminifu kwa yote atendayo. Mwenyezi Mungu hupenda uadilifu na haki; dunia imejaa upendo wake usiokoma.