Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 3:3-4

Zaburi 3:3-4 NEN

Lakini wewe, Ee BWANA, ni ngao pande zote; umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. Ninamlilia BWANA kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu.