Zaburi 3:3-4
Zaburi 3:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu u ngao yangu kila upande; kwako napata fahari na ushindi wangu. Nakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe wanisikiliza kutoka mlima wako mtakatifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na Wewe, BWANA, U ngao yangu pande zote, Utukufu wangu na mwinua kichwa changu. Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 3