Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 23:5-6

Zaburi 23:5-6 NEN

Waandaa meza mbele yangu machoni pa adui zangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, kikombe changu kinafurika. Hakika wema na upendo vitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 23:5-6