Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 23:5-6

Zaburi 23:5-6 BHN

Umeniandalia karamu mbele ya maadui zangu; umenipaka mafuta kichwani pangu; kikombe changu umekijaza mpaka kufurika. Kweli wema wako na fadhili zako zitakuwa pamoja nami, siku zote za maisha yangu; nami nitakaa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu milele.

Soma Zaburi 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 23:5-6