Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 18:1-2

Zaburi 18:1-2 NEN

Nakupenda wewe, Ee BWANA, nguvu yangu. BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 18:1-2