Zaburi 18:1-2
Zaburi 18:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mkombozi wangu; Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe, BWANA, nguvu yangu, nakupenda sana; BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wewe, BWANA, nguvu zangu, nakupenda sana; BWANA ni jabali langu, na boma langu, na mwokozi wangu, Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia, Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18