Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 139:12-13

Zaburi 139:12-13 NEN

hata giza halitakuwa giza kwako, usiku utangʼaa kama mchana, kwa kuwa giza ni kama nuru kwako. Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu.