Zaburi 139:12-13
Zaburi 139:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja. Wewe umeniumba, mwili wangu wote; ulinitengeneza tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa. Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa. Maana Wewe ndiwe uliyeniumba mtima wangu, Uliniunga tumboni mwa mama yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139