Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:22-24

Zaburi 119:22-24 NEN

Niondolee dharau na dhihaka, kwa kuwa ninazishika sheria zako. Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia, mtumishi wako atatafakari juu ya maagizo yako. Sheria zako ni furaha yangu, nazo ni washauri wangu.