Zaburi 119:158-160
Zaburi 119:158-160 NEN
Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako. Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee BWANA, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako. Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele.