Zaburi 119:158-160
Zaburi 119:158-160 Biblia Habari Njema (BHN)
Niwaonapo wahaini hao nachukizwa mno, kwa sababu hawazishiki amri zako. Tazama, ee Mungu, ninavyozipenda kanuni zako! Unijalie uhai kadiri ya fadhili zako. Kitovu cha neno lako ni ukweli, maagizo yako yote adili, yadumu milele.

Zaburi 119:158-160 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimewaona watendao uhaini nikachukizwa, Kwa sababu hawakulitii neno lako. Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na fadhili zako. Jumla ya neno lako ni kweli, Na kila hukumu ya haki yako ni ya milele.
Zaburi 119:158-160 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nimewaona watendao uhaini nikachukizwa, Kwa sababu hawakulitii neno lako. Uangalie niyapendavyo mausia yako, Ee BWANA, unihuishe sawasawa na fadhili zako. Jumla ya neno lako ni kweli, Na kila hukumu ya haki yako ni ya milele.
Zaburi 119:158-160 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako. Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee BWANA, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako. Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele.