Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 112:1-2

Zaburi 112:1-2 NEN

Msifuni BWANA. Heri mtu yule amchaye BWANA, mtu yule apendezwaye sana na amri zake. Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa.