Zaburi 112:1-2
Zaburi 112:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Heri mtu anayemcha Mwenyezi-Mungu, anayefurahia sana kutii amri zake. Wazawa wake watakuwa wenye nguvu nchini; watoto wa wanyofu watapata baraka.
Shirikisha
Soma Zaburi 112Zaburi 112:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haleluya. Heri mtu yule amchaye BWANA, Apendezwaye sana na maagizo yake. Wazawa wake watakuwa hodari duniani; Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 112