Zaburi 105:1-3
Zaburi 105:1-3 NEN
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda. Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa, waambieni matendo yake yote ya ajabu. Lishangilieni jina lake takatifu, mioyo ya wale wamtafutao BWANA na ifurahi.