Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:19-21

Zaburi 103:19-21 NEN

BWANA ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, ufalme wake unatawala juu ya vyote. Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake. Mhimidini BWANA, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 103:19-21