Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:19-21

Zaburi 103:19-21 BHN

Mwenyezi-Mungu ameweka kiti chake cha enzi mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote. Enyi malaika wakuu, msifuni Mwenyezi-Mungu; mnaotimiza amri zake na kutekeleza neno lake! Enyi jeshi lote la mbinguni, msifuni Mwenyezi-Mungu; enyi watumishi wake mnaotekeleza matakwa yake!

Soma Zaburi 103

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 103:19-21