Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 102:1-2

Zaburi 102:1-2 NEN

Ee BWANA, usikie maombi yangu, kilio changu cha kuomba msaada kikufikie. Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.