Zaburi 102:1-2
Zaburi 102:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, usikie kuomba kwangu, Kilio changu kikufikie. Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Shirikisha
Soma Zaburi 102Zaburi 102:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikie sala yangu, ee Mwenyezi-Mungu, na kilio changu kikufikie. Usijifiche mbali nami wakati wa taabu! Unitegee sikio lako, unijibu upesi wakati ninapokuomba!
Shirikisha
Soma Zaburi 102