Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 3:5-7

Mithali 3:5-7 NEN

Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe; katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; mche BWANA ukajiepushe na uovu.