Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 28:13-14

Mithali 28:13-14 NEN

Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema. Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha BWANA, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huangukia kwenye taabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 28:13-14