Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 16:17-19

Mithali 16:17-19 NEN

Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko. Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho miongoni mwa walioonewa kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 16:17-19