Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 6:35-36

Marko 6:35-36 NEN

Mchana ulipokuwa umeendelea sana, wanafunzi wake walienda kwake, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, nazo saa zimekwenda sana. Waage watu ili waende mashambani na vijijini jirani, wakajinunulie chakula.”