Marko 6:35-36
Marko 6:35-36 Biblia Habari Njema (BHN)
Saa za mchana zilikwisha pita. Basi, wanafunzi wakamwendea Yesu, wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa. Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Shirikisha
Soma Marko 6Marko 6:35-36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata zilipopita saa nyingi za mchana, wanafunzi wake walimwendea, wakasema, Mahali hapa ni nyika tupu, na sasa kunakuchwa; uwaage watu hawa, ili waende zao mashambani na vijijini kandokando, wakajinunulie chakula.
Shirikisha
Soma Marko 6