Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 4:20

Marko 4:20 NEN

Wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri, hulisikia lile neno, wakalipokea na kuzaa mazao. Wao huzaa mara thelathini, au mara sitini, au mara mia ya mbegu iliyopandwa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 4:20