Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 6:9-10

Mathayo 6:9-10 NENO

“Hivi ndivyo mnavyopaswa kuomba: “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe. Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.