Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 5:3-5

Mathayo 5:3-5 NEN

“Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. Heri wale wanaohuzunika, maana hao watafarijiwa. Heri walio wapole, maana hao watairithi nchi.