Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 4:24

Mathayo 4:24 NEN

Kwa hiyo sifa zake zikaenea sehemu zote za Shamu, nao watu wakamletea wote waliokuwa na magonjwa mbalimbali na maumivu, waliopagawa na pepo wachafu, wenye kifafa na waliopooza, naye akawaponya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 4:24