Mathayo 4:24
Mathayo 4:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Habari zake zikaenea pande zote za Siria. Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: Waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.
Shirikisha
Soma Mathayo 4Mathayo 4:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Shirikisha
Soma Mathayo 4