Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 28:8

Mathayo 28:8 NEN

Hivyo wale wanawake wakaondoka pale kaburini wakiwa wamejawa na hofu, bali wakiwa na furaha nyingi. Wakaenda mbio kuwaeleza wanafunzi wake habari hizo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 28:8