Mathayo 28:8
Mathayo 28:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakiwa wenye hofu na furaha kubwa, hao wanawake walitoka upesi kaburini, wakakimbia kwenda kuwaambia wanafunzi wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 28Mathayo 28:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa hofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake habari.
Shirikisha
Soma Mathayo 28