Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 23:11-12

Mathayo 23:11-12 NEN

Yeye aliye mkuu kuliko ninyi nyote miongoni mwenu atakuwa mtumishi wenu. Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 23:11-12