Mathayo 23:11-12
Mathayo 23:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliye mkubwa miongoni mwenu ni lazima awe mtumishi wenu. Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na yeyote atakayejikweza, atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili, atakwezwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 23Mathayo 23:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 23