Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 21:12-13

Mathayo 21:12-13 NEN

Yesu akaingia katika eneo la Hekalu na kuwafukuza wote waliokuwa wakinunua na kuuza vitu Hekaluni. Akazipindua meza za wale waliokuwa wakibadilisha fedha, na pia viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa. Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 21:12-13