Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 2:22

Mathayo 2:22 NEN

Lakini aliposikia kwamba Arkelao alikuwa anatawala huko Uyahudi mahali pa Herode baba yake, aliogopa kwenda huko. Naye akiisha kuonywa katika ndoto, akaenda zake sehemu za Galilaya

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 2:22